Posts

Showing posts from March, 2018

UPENDO WA KWELI

UPENDO WA KWELI Katika maisha yangu ya imani na miito, ni vyema kujikumbusha na kuelewa kwamba ‘Mungu ananijua zaidi ya ninavyo jijua mimi’ na pia “Mungu ananipenda zaidi ya ninavyo jipenda mimi”. Ananijua na ananipenda, kwahiyo ni jukumu na wajibu wangu mimi kama kijana kuwa mtu wa KUMWAMINI.              Kuna mambo makuu matatu ambayo ni   ya msingi saaana mimi kama kijana yanipasa kuyashiriki na kuyaishi. Kuyatambua mambo haya tujiiulize maswali kwa   uaminifu; Moja,   je, nipo katika hali ya neema ?- Kuishi maisha ya neema ni kule kuwa katika namna ambayo ni ya kumpendeza Mungu; Hali ya kuishi maisha ya usafi wa moyo, kuyapenda masakramenti ya kanisa, kujitoa kwa ajili ya wale wasiojiweza hasa masikini , wagonjwa na wote walio katika mazingira magumu, kulipenda na kuliishi neno la Mungu, kuishi maisha yasio ya pande mbili, kuyapenda mambo ya kiroho na pia kuwa katika hali ambayo sio ya dhambi. Hii ndio hali ...